Hawa Madagascar wasicheze km wametosheka warudishe goli hiloKenya 1
Wakenya wamenunua tickets zote mkuu wew hujasikia?Gemu ya TZ na Morocco nasikia ticketi ni sold out ya kweli haya!!
Yeah .Walizubaa
Sio goliDohhhhh Kenya lapilii
Alimsukuma na mkono wamefutaNo goli