Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Dakika ya 49
Kenya 1
Madagascar 0
Mpira unaendelea
 
Hawa Madagascar wasicheze km wametosheka warudishe goli hilo
Huwa inawachukua dakika kadhaa kukaa kwenye mchezo, huwa hawawezi kuingia na kuwa smart.
Kenya wametumia opportunity.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…