GoaaaaalHata Madagascar kapresha
moya moyaMadagascar wanapata penalty
Wahuni waliopo kitengo cha manunuzi pale TBC,ukute bajeti ya vifaa huwa ni kubwa,ila wanachukua feki.Naangalia hii mechi kupitia tbc one 😥Kuna saa tunasikia sauti pekee na kuona rangi ya machungwa machungwa
Uwezekano wa kuisha mojamoja ni mkubwa.Hapo Kenya wameisha
VimeumanaMadagascar 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸
Mnywani mdagas nakuona nakuonaaaaw😁Piga mbwaa hao
Kabeeeeeesa mnywani muvi ndokwanza limeanza mokooo 🕺🕺🕺Vimeumana
Yaani lengo lao ni nini hasa!?Wakenya wamenunua tickets zote mkuu wew hujasikia?
Zilikua sold out tangia Jana😁
Madagasca Wapuuzi tu
Kenya hawaaamini macho yao wamezima mpaka vitochi vyao hahahaMadagascar 🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸