Ukute hata thamani ya pesa yao,imechangia yawezekana hawaamini kama buku 50 yao ni hela ndefu huku kwetu,hivyo kununua hadi tiketi za ziada kwaajili ya Wakenya ambao walikua wana hofu ya kuja huku wakihofua gharama, matokeo yake hawajaja wote waliolipiwa.Kusababisha viti viwe empty.Then tukose vibe la washangiliaji.
Mtu mmoja kununua tickets 200 ,
We unadhani amedhamiria Nini?
Tungewagonga ila tuliposhindwa kuwafunga Africa ya Kati nimelaaani sanaIngewezekana hawa wangetupiga
Hahaha yaani mpira una maajau yakeMpira ni wa ajabu sana,sisi hawa madagascar tuliwapiga vizuri tu angalia leo wanavyokimbiza kenya utadhani sisi ni bora kuliko kenya
Sisi ni bora ila tulishindwa kuwafunga Africa ya Kati sijui tuliwaonea hurumaMpira ni wa ajabu sana,sisi hawa madagascar tuliwapiga vizuri tu angalia leo wanavyokimbiza kenya utadhani sisi ni bora kuliko kenya
Madagascar watapigika tu labda wacheze kwa tahadhari kubwaInaenda 120
Hapo weka sawaAlgeria au Sudan
kwani meshavuka kwa moroccoNawatamani Kenya tupige nao nusu fainali
Hawafungwi hii ngoma mpaka matuta na ikifika matuta Kenya hawatoboiMadagascar watapigika tu labda wacheze kwa tahadhari kubwa
Sisi Bora kuliko Kenya kwny haya mashindano ya wachezaji wa ligi za ndaniMpira ni wa ajabu sana,sisi hawa madagascar tuliwapiga vizuri tu angalia leo wanavyokimbiza kenya utadhani sisi ni bora kuliko kenya
Unaangalia mpira wapi bro au unatumia TV ya chogo? 😁😁😁Hawa KE wamoto.
Africa ya kati haikuwa na umuhimu tulishavuka,na pia wachezaji walicheza kwa makini wasiumie kwa hatua inayokujaSisi ni bora ila tulishindwa kuwafunga Africa ya Kati sijui tuliwaonea huruma