Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 75,495
- 185,562
Aiseeeehh!!!Hii ni knockout lazima mmoja ashindwe.
Wanapewa extra 30.
Then matuta
Aiseeeehh!!!Hii ni knockout lazima mmoja ashindwe.
Wanapewa extra 30.
Then matuta
Kapike mandondo sasaDuhhhhhh!!! Bora 90' ziamue ili niwahi kuunga walindondo mapema nisubirie Taifa stars 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Game over Wanasubiri 30' nyingineDakika 0 imeabakia
Kapike mandondo kabla stars hawajaanza saa 2 utakua hupiki leoAiseeeehh!!!
Yaniiiii !Kapike mandondo kabla stars hawajaanza saa 2 utakua hupiki leo
MnooooooHii ya Stars itakuwa ya Moto sana.
Ngoma imegoma ngoja tuone dk 30Hawatoboi kwa Algeria
Si wameenda 30 Kisha penalty endapo hakuna mshindi kwenye hizo 30'Wakitoka hivo mokomoko nani anapita???
Wachezaji wapo hoi Saivi wanacheza kwa step kuviziana😁Si wameenda 30 Kisha penalty endapo hakuna mshindi kwenye hizo 30'