MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 5,824
- 14,757
Hehe jirani kazi anayo
wamenisikitisha sanaHii kosakosa dahhh!!
Forward wa Madagascar 🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Mnoooooo yani wamekuwa waoga pale wangefunga. Au ndo kapresha 😁😁😁😁wamenisikitisha sana
Tena Sio ndogoKazi ipo
Naona dk 15 zilizobaki ni nyingi kwa madagascar,mi nataka wafike japo matutaTena Sio ndogo
Ndo ujue mpira wa ajabu,walikuwa wanasema Tz tuna kundi dhaifu ila sasa wanatolewa kamasiWajaluo kazi wanayo leo si walisema Madagascar kibonde eeeh??
Leo kivumbi tu hapa mikazo kama yote
But nao wanakaba ! Sio wazembe kivile hapa mwisho wameliamsha dude almanusura...Naona dk 15 zilizobaki ni nyingi kwa madagascar,mi nataka wafike japo matuta