vvvv
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 510
- 912
Sidhani kama kuna goli tena hadi matutaBut nao wanakaba ! Sio wazembe kivile hapa mwisho wameliamsha dude almanusura...
Sidhani kama kuna goli tena hadi matutaBut nao wanakaba ! Sio wazembe kivile hapa mwisho wameliamsha dude almanusura...
Ingia fawanews.sc uangalie japo hata matutaNgapi huko? TANESCO WAMESHANIUA
Ukute hata kwenye matuta nao ni wabovu,ila wanatakiwa watolewe hawa jirani hata tukipoteza baadaye ngoma drawForward za Madagascar zimechoka vibaya mno. Tusubiri tu Jirani atolewe kwa matuta
ShukraniIngia fawanews.sc uangalie japo hata matuta
Ngoja tuoneSidhani kama kuna goli tena hadi matuta
Hata Keñya nao wamechokaWadagas wameamua liwalo na liwe sasa wanaslide tu shwaaaa wanakupora mpira if possible wataruka hadi sarakasi dadeq
Yupo MK254Kuna wakenya humu
wapo ila utawaona iwapo watashindaKuna wakenya humu
Uko mkoa gani,sisi tanga mjini napo wamekata umemeNgapi huko? TANESCO WAMESHANIUA
Kenya wameaga rasmiMatuta