Hayana mwenyewe matutaKenya wameaga rasmi
Tunangoja kuonaMatuta yameanza 1-1
NomaMadagascar wamechoma kibanda sasa
Kenya nao watakosa subiri tuone
Ndomana sitakagi kabisa matuta mimiKenya nao watakosa subiri tuone
Nalo nenoUkute hata thamani ya pesa yao,imechangia yawezekana hawaamini kama buku 50 yao ni hela ndefu huku kwetu,hivyo kununua hadi tiketi za ziada kwaajili ya Wakenya ambao walikua wana hofu ya kuja huku wakihofua gharama, matokeo yake hawajaja wote waliolipiwa.
HahahaKbabakeeeeee nao wamekosaaaa🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸