nyamatongo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 753
- 1,030
Hongera mama Samia Kwa Kenya kutolewa
Kenya safari imeishia hapoNaona penati za Kenya na Madagascar wabongo wana furahi sana
Ukiwa unabet Uwe unaniambia nikutabiriee!😁😁😁😁Kenya hawapendwi.
Ukumbi umelipuka hapa balaa
Bado sisienglish speakers are out,,, sasa ile timu yenye mashabiki wa kusuasua ni suala la muda tu
Sio kamasi tu wametolewa wajaluo haoNdo ujue mpira wa ajabu,walikuwa wanasema Tz tuna kundi dhaifu ila sasa wanatolewa kamasi
Wacha basi hiyo manenoWaandaaji wote hawavuki hatua hii