Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,831
- 11,670
Kuna goli linaingia muda sio mrefuWacha niangalie muvi dakika sifuri nikisikia woyooooo๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ narudi kushangilia
Washindi wa porojo ๐๐Sheeeeendwaaahh!!
Tunakemea roho ya kushindwaaaa
Sisi ni washindii๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐ช๐ช๐ช
Amen
Duuh ni Stars siasa peleka kule jukwaa la SiasaCCM damuu... Vijana wa mamaaa
Ushindi upo upande wetu leoWashindi wa porojo ๐๐
Na Baba Kisarii aseme amen!!Kuna goli linaingia muda sio mrefu
Ushindi pia upo ccm... TunatikiiDuuh ni Stars siasa peleka kule jukwaa la Siasa
Tulia weweUshindi pia upo ccm... Tunatikii
Tunashinda leo tukiwakosa kipindi cha kwanza tunawamaliza cha pili game iishie hapo