We Need Your Support!Wacha niangalie muvi dakika sifuri nikisikia huko nje woyooooo🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 narudi kushangilia
Even na Madagascar, Si Uliangalia?Leo ndio kipimo sahihi
Eendiwoooo mapemaa 90' zitaongeaTunashinda leo tukiwakosa kipindi cha kwanza tunawamaliza cha pili game iishie hapo
Tulia wewe ushindi upo palepale hawa tunawatoaMzizeee fuk yu
Siasa weka pembeni mara mojaNatamani kuishangilia ila nikikumbuka ni timu ya MAZA nafsi inakataa kabisa.
Wonderkid kaniangusha ilikuwa nafasi ya wazi kabisa ileTulia wewe ushindi upo palepale hawa tunawatoa
Kwanini ?Mzize, Kagoma sub
Hiki Ndio Nilikua Nakizungumza Muda Sio Mrefu Hapa Tulipokaa, Ingekua Wao, Tuta LileLilikua goli lileee Mzizee walikwatua angejiangusha pale