HISTAMINE
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 650
- 1,573
Kagoma anaweza kula 2nd yellowKwanini ?
Kagoma anaweza kula 2nd yellowKwanini ?
Lilikua goli kabisa lile ila tutatupia kipindi cha piliMzize matak* yako
Muhimu ajiangalie maana kapata yellow mapema sanaKagoma anaweza kula 2nd yellow
Kabisa wangejiangusha ila Mzize kakaza amekosea angeogelea pale ni goli kabisaHiki Ndio Nilikua Nakizungumza Muda Sio Mrefu Hapa Tulipokaa, Ingekua Wao, Tuta Lile
Hawa hawatoboi cha pili tunawagonga vizuri kabisaKipindi cha pili tukikaza hapa tuna goli letu
Ninachokiona jamaa hawa waarabu wanacheza kimipango sana saivi tempo wanacheza ya chini ngoja kwanzia dakika ya 70 uone moto .
Na sisi hapo ndio tunahitaji kuwa na benchi zuri yaani kitoke chuma kiingie chuma mbona leo wangeyatimba hawa waarabu?
Anyway hii game tunashinda
Kqgoma ndio ajiqngalie lakini akitoka yeye single nani??
Hamjui mpira kazi ngumu sana huoni pale alikwatuliwa akakosa balance?Wonderkid kaniangusha ilikuwa nafasi ya wazi kabisa ile
Kweli ligi yetu ipo vizuri sanaHawa hawatoboi cha pili tunawagonga vizuri kabisa
Na huyu ndo anatakiwa atoleweIla Sopu bado hajakuwa kwa game za kimataifa ila anajitahidi na ndie tunae hakuna namna
Nadhani sababu ya kukaba tu ila hana kingine zaidi ya hapoIla Sopu bado hajakuwa kwa game za kimataifa ila anajitahidi na ndie tunae hakuna namna
Wao wameshindwa mimi nawezaje mkuu?Siasa weka pembeni mara moja
WamejinyeaWakufanya nini?
TunapetaTutatoboa Kweli?
TunawafungaMorroco watarudi kwa kasi sana...