Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,406
- 12,736
Nilisikia yanga inamtakaDah kipa huyu ataondoka JKT
Nilisikia yanga inamtakaDah kipa huyu ataondoka JKT
Ushindi upo upande wetu leo
hahahaaaa mtajifunga mwenyewe na Chalamila wenuSheeeeendwaaahh.
Tunawafunga wewe namoroko Yako
🇹🇿💪💪💪
Nilikwambja mkuu kipindi cha pili jamaa watakuja kivingine hapa inatakiwa kukaza tuHahaha wanataka kufanya nini hawa Morocco hawashindi leo hata wafanyaje
Ilikua ni suala la muda tu.Wamebaki Uganda.Tumefungwa kirahisi sana
Sopu atoke ana mchango mdogo sanaDefence line ( 4) ya Morroco unarudi haraka sana ....
Ili stars wapate goli ..inabidi wavune uwanja kwa kasi ..hasa wingi zake ( Nado + soap)
Na kitoto piaTumefungwa kirahisi sana
Dahhhhh ussssshhhhhuunguuu! 😔😔😔hahahaaaa mtajifunga mwenyewe na Chalamila wenu
Woyeeeeee😂😂😂Timu ya MAZA woyeeee
Seama AmeeeeniiiiNitaseme amen baada ya watoto wa maza kupigwa goli na waarabu