Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Dakika 70

Stars 0-1 Morocco

Saaduni kaingia Kagoma katoka
 
Kuna utofauti sana wa uchezaji kati ya taifa stars na Morocco, wao wanacheza wamerelax sana, sisi tupo tense kinoma hata kabla ya kufungwa
 
Dakika ya 76
Tanzania 0
Morocco 1
Mpira unaendelea....
 
Back
Top Bottom