Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 2,284
- 3,626
SSH hiyeeeeeNimekubari hii tumefeli
SSH hiyeeeeeNimekubari hii tumefeli
Tuchekane tu saivi.. maana mmoja wao angepita shida ingekuepo [emoji28]Story ya majiran
TZ:[emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole jirani umetolewa na kibonde wangu Madagascar
Kenya; penat hazina mwenyewe kabahatisha yule
Tz: ila ndo umetolewa tulia umenikimbia
Kenya:[emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole sana jirani yaani umetolewa na Morocco ambayo mimi niliitoa nikiwa na pungufu ya mchezaj mmoja[emoji28][emoji28]
Tz:[emoji41][emoji41]fanya mambo yako mbona we umetolewa na kibonde wangu
Kenya; ila sijatolewa dk90 kama weweView attachment 3449522
Outhii unaikumbuka
Tuchekane tu saivi.. maana mmoja wao angepita shida ingekuepo [emoji28]
Mna roho mbayaHongera Morocco
Wanatakiwa kushinda.EAC hatujui mpira, tusichekane, Wacha tusklizie Uganda, nawaombea ushindi.
😀Usikute ni maandaliz ya kwenda kutiki. Ngoja tuone
Uganda wanatuwakilishaEAC hatujui mpira, tusichekane, Wacha tusklizie Uganda, nawaombea ushindi.