Ngazi Ngumu Wapi, Hana Akili tu, Alishindwa Nini Ku dive tu Pale na Mtu AlishamuingiaHamjui mpira kazi ngumu sana huoni pale alikwatuliwa akakosa balance?
Dakika 5 zimebakiMh mbona kama hatutoboi
Maajabu ya uganda siyaoni leoDakika 5 zimebaki
Ngoja tuoneMaajabu ya uganda siyaoni leo
Chalamila ana yard ya kugawa magari?Kipa aliambiwa atapewa Crown...tena akaichukue kwa Mkuu wa Mkoa pale.
Nimekubari hii tumefeliChalamila ana yard ya kugawa magari?
Vipi na refa naye anajiangusha?Wanajiangusha washenzi hawa