Mbaya kwako. Sudan naye anaenda kufanya "Gusa, achia tuyaage mashindano"Siku mbaya Africa Mashariki
Sudan hakuna hata ligiMbaya kwako. Sudan naye anaenda kufanya "Gusa, achia tuyaage mashindano"
Ni bora ushabikie Waarabu kama hutaki stress ngozi nyeusi zina matatizo makubwa sana
[emoji23][emoji23][emoji23]wamezingua me nilikuwa nasubiri nione kitamkuta nn refa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu wamevurugwa, media zikaona zisiwe shahidi mtu akimwagwa damu ikabidi waonyeshe mashabiki tu
🤣🤣🤣 watu wamevurugwa, media zikaona zisiwe shahidi mtu akimwagwa damu ikabidi waonyeshe mashabiki tu
[emoji23][emoji23][emoji23]wamezingua me nilikuwa nasubiri nione kitamkuta nn refa
Sudan wanapambania taifa laoBaada ya EAC kutolewa KO Mmeishiwa pozi😁😁😁😁😁😁!
Zamani nilikuwa naichukia sana timu ya taifa ya Egypt, hasa baada ya kubeba ubingwa wa Afrika mfululizo kwa kuzibonda timu za West Africa, ila baada ya kujua Egypt na Waarabu wengine wako serious sana na soka, sina chuki nao tena.Ni bora ushabikie Waarabu kama hutaki stress ngozi nyeusi zina matatizo makubwa sana
15' zakwanza zimeisha Wanasubiri 15' zamwishoSudan wanapambania taifa lao