Hapo ndo mi nashangaaSudani nchi ya amani sijui wangekuwa na vita ingekuwa vipi maana wanapambana sana tena bila ahadi yoyote
Weusi tumewakilishwa na sudan EACHaya mapenalties ya Sudan 🙌
Sudan hope to the final wakicheza hivi wanamtoa Madagascar kifupi Sudan ndie tunaenda naeWeusi tumewakilishwa na sudan EAC
Na hapo hakuna AHADI za kikuda kuda kama zetu huku kama zile za Goli la Chama cha CCMHawajamaa na hawana ligi inayochezwa kwao
Hatari sana kawa rc arusha 🤣Na yeye kakatwa