Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Hapa kuna wachezaji wengi sana wakuchukua, sijui huko Egypt Simba huwa wanaenda kufanya nini
 
DSTv ni 227 ila mi naangalia tbc na mtangazaji alishangilia goli ya Sudan SA sijui hajaona Ile clear offside
 
Dakika ya 28
Madagascar 0
Sudan 0
 
Umeona straiker ya Sudan ni nzito balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…