Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Aisee kweli mpira wa bongo hamna kitu yaani hadi wahindi koko wapo vizuri kuliko sie
 
1000258766.jpg
 
Hizi middle za madagascar no 2 na no 8 ni moto aise.
Alafu huyu centre back namba 4 na fullback no. 21. Hawa wanajua boli

Kalpana mwambie boss achukue hii fullback
 
Back
Top Bottom