Hapana; tuliwakung'uta vizuri sana hadi tukaongoza kundi. Kocha wetu hakuiandaa timu vizuri kwenye robo fainali ndiyo maana tukatolewa, vinginevyo tungeweza kukutana na Madagascar tena kwenye fainali na kuwakung'uta tenaTuliwaotea tu
Safi kabisa, Morocco 🇲🇦 moja hiyooo babaaaHapa shemeji na dada wamevaa jersey ya moroccco 🤣🤣🤣🤣
Nikiwambia nyie tujikite kwenye kugegedana mnaona mzabza napenda ngono.Bado Uganda wameingia wengi kuliko sasa tulivyoingia taifa
Nimekwambia bro huyu no. 25 wa senwgal mtu aliwasumbua sana uganda...anajua kupata foulsSahihi