Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Mmesahau ya simba sports club dhibi ya makuma berkane? Kwanza refa alihongwa na hata ushahidi wa video upo , na pia kiongoz. Wake mkubwa wa moroko alifanya figisu mechi ichezwe Zanzibar badala ya uwanja wa taifa dar...
😀😀
 
Nakumbuka kabisa ile.. hawa washenzi wanabebwa na mbeleko za CAF.
 
Dakika ya 70
1-1
Game on......
 
Nakumbuka kabisa ile.. hawa washenzi wanabebwa na mbeleko za CAF.
Unakumbuka pia tuliingia kwnye vyumba vya marefa walikuepo maofisa wa moroko ..na tukawa tunachukua video...eti CAF wkatishia sjui tutachukuliwa hatua ,,Kiko wapi Hadi saivi kimya na tunajua hio ishatoka itakua Simba waliombwa
 
Back
Top Bottom