Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
hatari sana, mahudhurio hafifu sana,, fainali inapigwa wapi?Pamoja but very few!!View attachment 3453881
hatari sana, mahudhurio hafifu sana,, fainali inapigwa wapi?Pamoja but very few!!View attachment 3453881
Sana huu uhuni kabisa aiseeJitu limecommit clear foul likiwa la mwisho, linatfutiwa red card na kupewa njano!
Nimesikitika sana.
Mshindi wa tatu inapigwa wapiKasarani
Alokwambia morocco waarabu nani wwKila la kheri morocco 🇲🇦 najua wengi wanawachukia waarabu, kwangu nawaombea ushindi. God bless Simba wa atlas
Morocco, Algeria, Libya na Tunisia ni mabedui (Bedouin) siyo waarabu.Alokwambia moroco waarabu nani ww
Mluguru huyu mwee 🤣🤣🤣🤣Mweee