Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Kipindi cha kwanza kinaenda kuisha
 
HT
Niger 0 - 0 Guinea
 
Goli la chap chap
 
Goooooooal
Guinea 1
 
Ila muamuzi alilikataa duh VAR inatoa magoli sana awamu hii
 
55'
Niger 0 -1 Guinea
Game on
 
Waganda wanaanza kuingia Nambole saa ngapi?
 
Guinea wanapoteza clear chance
 
74'
Niger 0 - 1 Guinea.
Game on
 
Bangura Out.
Huyu anatufaa msimbazi
 
Kikosi Cha Uganda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…