Nilikwambia bro mpira sio mdomoni weka boli tuone. Haya mil800 imeepa kwa waganda🤣🤣🤣🤣Waarabu wanakapa strategically
Sie tuende kugegedana tuuNgozi nyeupe ilishatushinda vitu vingi
Goli zuri sana...shows pure quality yani awareness, one touch play and ofcoz a great fake shotWamepigwa cha Tatu bana...