Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uganda 0-3 Algeria
Dakika ya 83
 
Uganda mpaka huruma kafungwa na boli kapigiwa la kutosha hawa Algeria washenzi sio kidogo
 
Nimeasikitika sana ndugu zangu wa Uganda kukung'utwa mabao matatu na Algeria. Katika Afrika ya Mashariki, waganda ni waungwana sana kuliko mataifa yote kwenye ukanda huu licha ya kutawaliwa na "Rais wa Maisha", kwa hiyo nilitaka washinde kusudi hosts ndio waongonze makundi yao. Ila naona sasa Uganda inavuta mkia kwenye kundi lake na uwezekano wa kuongoza ni mdogo sana ingawa wanaweza kuingia kwenye mbili bora wakibadilisha mbinu.
 
Hawa guinea hii midfield trio yao iko viziri huku pembeni kwenye flanks nako kupo mwake...game yao na algeria itakuwa must watch
 
Nimeasikitika sana ndugu zangu wa Uganda kukung'utwa mabao matatu na Algeria. Katika Afrika ya Mashariki, waganda ni waungwana sana kuliko mataifa yote kwenye ukanda huu licha ya kutawaliwa na "Rais wa Maisha", kwa hiyo nilitaka washinde kusudi hosts ndio waongonze makundi yao. Ila naona sasa Uganda inavuta mkia kwenye kundi lake na uwezekano wa kuongoza ni mdogo sana ingawa wanaweza kuingia kwenye mbili bora wakibadilisha mbinu.
Kabisa mkuu!!
Kuna namna kocha anatakiwa kufanya, hasa namna yakupanga safu yake ya ushambuliaji na ulinzi.
Jamaa pale nyuma kuna namna wanategeana kukaba
 
Wanapigwa mbele ya Mke wa Museveni
Nadhani Uganda waliingia kwa panic. Hawakuingia na mpango maalumu walikua wanawaza zawadi, wanawaza kuwaprove watu wrong kwamba mataifa wenyewe wanaweza hasa baada ya Tanzania na Kenya kushinda mechi zao za kwanza.

Wamejikuta kwenye deep shit. Kwasababu hata kama Algeria ni wazuri sawa ila Uganda wangeweza kulazimisha sare au kufungwa kwa margin ndogo sana ya magoli.
 
Back
Top Bottom