Undava undava tuu..ila hiinfullback ya kulia ya senegal mtuHii mechi ya Nigeria vs Senegal haina ufundi ni kukimbizana tu kama wafukuza kuku🚮🚮🚮
Huwa ni chai tuHawa wote ligi yetu ni bora kuwazidi
Pole mwanawane...kocha wa nigeria amebugi wale mastriker wake anawatoa dakika ya 90 wakati watu walikuwa hawana ufanisi wowote toka dakika ya 50Full Time
Senegal 1
Nigeria 0
Senegal kaonyesha umwamba leoTunasubiria Mtiti wa Senegal vs Nigeria.
Utakuwa game Nzuri.
mzabzab ,Ambivert88
Another Game to Watch!!