Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

29'
Game on
0-0
 
HT
Senegal 0
Nigeria 0
 
Hawa Senegal wanatafuta tiketi zakwenda ulaya wanaupeleka vibaya mno
 
55'
Senegal 0
Nigeria 0
Game On
 
Hawa wote ligi yetu ni bora kuwazidi
 
61'
Game On
Senegal 0
Nigeria 0
 
Goooooooooooal....
Senegal 1
 
Beki ya Nigeria inakatika hapa, Inawagharimu sana.

Wanapigwa goal lakuongoza.

76'
Nigeria 0
Senegal 1
 
90'
Added Minutes 2.
Senegal 1
Nigeria 0
 
Full Time
Senegal 1
Nigeria 0
 
Full Time
Senegal 1
Nigeria 0
Pole mwanawane...kocha wa nigeria amebugi wale mastriker wake anawatoa dakika ya 90 wakati watu walikuwa hawana ufanisi wowote toka dakika ya 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…