Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Na ndicho wanachoimba mashabiki wachache waliopo.
 
VAR check for possible Red Card
 
Sio rahisi.
Leo wameingia tu kwenye mfumo
Hao tunawapiga nyingi sana tushindwe wenyewe tu yaan katika timu za kujiokotea magoli mengi ni hii tushindwe wenyewe tu naziona hart-trick km 8 hivi
 
Ngoja niitafte mechi yao niweke mshahara
August 16
20:00 – Burkina Faso 🇧🇫 vs 🇲🇬 Madagascar
20:00 – Central African Republic 🇨🇫 vs 🇹🇿 Tanzania
 
Back
Top Bottom