Kipa nae ndio mweee, haya kila tukitaka kwenda mbele jamaa wanakwapua mipiraStars leo siwaelewi kabisa
Mgunda anajaribu kuwatuliza anawatoa Mchezoni wacheze hivyo hivyo kasi kasi hakuna kuwapa nafasi ya kupumua hawa tutawafungaKipa namna gani pale?
Hapa tumebebwa aisee hii ninsecond yellowHii ndio starz nayoijua mimi sasa Mzize anaekataa mil 75
kagoma ana mpango wa kuchomesha timu
Kasi wapi na wewe unataka kutudanganya kama huyu 2nd comentator eti stars wanafika...wanafika wapi wakati offside kibaoMgunda anajaribu kuwatuliza anawatoa Mchezoni wacheze hivyo hivyo kasi kasi hakuna kuwapa nafasi ya kupumua hawa tutawafunga