Kwanza refa katubeba hapoKagoma wamtoe, haitaji uwe Gadiola kuelewa ataenda kuigharim timu🚮🚮
Kwanza refa katubeba hapoKagoma wamtoe, haitaji uwe Gadiola kuelewa ataenda kuigharim timu🚮🚮
Ndio hizo hizo tunataka goli hata la offsideKasi wapi na wewe unataka kutudanganya kama huyu 2nd comentator eti stars wanafika...wanafika wapi wakati offside kibao
Tukifunga uje tena tuongee hapaKwanza refa katubeba hapo
Mi nmeangalia hizi dk 7 kama sio 10 za mwisho kuna ujinga ameufanya kama sio Bacca /Job kumzonga yu1e jamaa na kudra tu za Maulana tungekwisha😆😆Kagoma kadi ya mapema imemtoa mchezoni ata pasi akipokea na kutoa yaani unaona kabisa katoka mchezoni
Hawa tunawafunga kabisa hawaMi nmeangalia hizi dk 7 kama sio 10 za mwisho kuna ujinga ameufanya kama sio Bacca /Job kumzonga yu1e jamaa na kudra tu za Maulana tungekwisha😆😆
JktHuyu kipa mlimuokota wapi Watanzania ?
Subirini tuwafunge hawa kisha tuje tuongee vizuriStars ni kama wanaomboleza msiba wa Job ndugayi hivi
Sasa jamani ile sii kadi ya njano ya pili broTukifunga uje tena tuongee hapa
Tukishawafunga uje tuongee vizuriSasa jamani ile sii kadi ya njano ya pili bro
2nd half anaenda nje kukaa bench hayupo mchezoni kabisaLeo Kuna kila Dalilii michezaji ya Simba kutia Hasaraa Taifa,Kagoma atakula umemee🤣🤣
Hawa tunapaswa kuwafunga bro...tukidraw hii mechi mambo yanaanza kuwa magumu maana bukina ez wameshinda huko...wanatuombea njaaaTukishawafunga uje tuongee vizuri
Madagascar tunawafungaHawa tunapaswa kuwafunga bro...tukidraw hii mechi mambo yanaanza kuwa magumu maana bukina ez wameshinda huko...wanatuombea njaaa
Wanafungika kama tukipunguza presha...Hawa tunawafunga kabisa hawa