United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,237
- 6,604
We muache alete utani awa mashombe shombe huwa wanatusumbua sanaMagadascar watatusumbua nakwambia
We muache alete utani awa mashombe shombe huwa wanatusumbua sanaMagadascar watatusumbua nakwambia
Sana mkuuMechi imepoa
Tukiachana na yote jamaa wanapoteza mda mpk mpira unaboaWanapoteza muda
Na sisi tunapooza tena mpira aseeh sisi bado sana naona hata Kenya wanaweza kutupiga tukija kukutana nao huko mbele
Piping anaonekana kuumia anatoka
Nyau nyauNgap uko wakuu
Nyau nyau
Leo tumeyakanyaga kwa kweliNyau nyau
Refa kashaingia kwenye mfumo wao tayariTukiachana na yote jamaa wanapoteza mda mpk mpira unaboa
Wewe una jicho kali nilisema tangu kitamboChikola, Bwenzi au Zaid na kutujazia kwenye benchi vifaranga vyao
Alafu ujus jamaa wamepumzika tuu wanatucheki...sie hapa same team imecheza leo nanile ilicheza saturday.We muache alete utani awa mashombe shombe huwa wanatusumbua sana
Inatia hasira sana wachezaji wetu waliopo banch ni hovyo tuAlafu ujus jamaa wamepumzika tuu wanatucheki...sie hapa same team imecheza leo nanile ilicheza saturday.
Tuna siku 2 tuu kufika jmosi sie tutakuwa unga nakeambia na magadascar watapata nguvu kama tukisuluhu mechi
Aisee hapa ni pipa na mfunikoTukiachana na yote jamaa wanapoteza mda mpk mpira unaboa
Sasa kama tunaleta ushikaji kwenye kazi matokeo yake ndio hayaInatia hasira sana wachezaji wetu waliopo banch ni hovyo tu