1academ
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 2,682
- 4,343
Rudi kwenu burundiii nyau ww... Bado tunakufatiliaa nyendo zakooHatuna Timu Upumbavu mtupu
Michezaji Haina Akili ya Mpira kabisa
Wanapoteza Muda na sisi tunaungana nao
Hatuna Malengo yeyote
Rudi kwenu burundiii nyau ww... Bado tunakufatiliaa nyendo zakooHatuna Timu Upumbavu mtupu
Michezaji Haina Akili ya Mpira kabisa
Wanapoteza Muda na sisi tunaungana nao
Hatuna Malengo yeyote
Ft Simba 1 yanga bilaKapombe kajichukulia sheria mkononi😆😆😆angekosa ningelia mno
Amekukosha?Kapombe kajichukulia sheria mkononi[emoji38][emoji38][emoji38]angekosa ningelia mno
Acheni huu ujingaFt Simba 1 yanga bila
Nimecheka kinomaRudi kwenye burundiii nyau ww... Bado tunakufatiliaa nyendo zakoo
Daah tuseme ukweli kocha yuko vizuri sijui wenzetu mpira huwa mnaangaliaje.Kweli
Yaani hii team ni kubwa kuliko kocha huyu imemzidi uwezo
Naona nado anafanya ujinga wake hapa hivi huyu ni ndugu wa kocha wetu?
Nafasi ya nado kuna mawinga wazuri zaidi
Often chikola
Idd kipagwile
Sio upuuzi wake huyu old skool winger
Sasa jamani watu tumeumbwa kuongeaSema wabongo mnaongea sana..mambo yasipokaa kwenye mstari tu, blah blah kibao.
Wewe nilikwambiaje wewe ukasemajeSasa jamani watu tumeumbwa kuongea
Nipo hapa mwanawane....leo ushindi ulikuwa muhimu....performance tutarekebisha. Huyu ndio kibonde wa group tungeshindwa pata point hapa ingekuwa balaaaBaba Ester kafanya yake mzabzab yupo wapi njoo tuongee sasa
Ujinga kwako nenda Mauritania, Kila MTU na furaha yakeAcheni huu ujinga
HIzi timu za kariakoo zimewaathiri sana. aisee