princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,686
- 19,365
Nmefurahi sanaAmekukosha?
Mambo yanapokwama inabidi ajitokeze mtu athubutu kufanya kitu acheze na moment... manake majamaa walishakuja na mbinu ya kudhibiti mfumo... sasa panahitajika watu kupambana hata mzize nmempenda dakika za mwishoni alikua kama msaka tonge kila upande yupo yani hapo plan ya mwalimu ishafeli hakuna cha zaidi ya kutumia ujuzi