Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Kisa kafungaShomari Kapombe alipaswa kuwa Man of the Match
Kisa kafungaShomari Kapombe alipaswa kuwa Man of the Match
Sio sababu tumeshinda, kiuchezaji tumecheza vizuri, sub anafanya kimkakati, kuna muda tunazidiwa au akiona makosa anakemea haraka game inarudi upande wetu. Ndio inapelekea ushindi, kwa tunaoijua stars haikuwahi kuwa na mentality hii ya kupush mchezo mpaka dakika za jioni na kupata goli. Kocha hana shida yoyote ni wachezaji tu kushika wanachoelekezwa basi.Hapo ndipo tunatofautiana kuujua mpira sasa hata mimi nakushangaa sijui wewe hiwa unaangaliaje?
Au sababu tumeshinda?
Hapo ndipo tunatofautiana kuujua mpira sasa hata mimi nakushangaa sijui wewe hiwa unaangaliaje?
Au sababu tumeshinda?
simbaHii Tanzania au PSG?
Kenya anachapwa 2-0