Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

82'
DRC 2
Zambia 0
Game On
 
Ukiangalia walichofanya wachezaji wote watatu waliohusika na lile goli utagundua wote wana akili sana ya mpira. Wacongo sijui mpira wanajifunzia wapi. Ni kama wana asili ya kuujua mpira.
Left back wa Congo DRC ni player mzuri sana ndani yake
 
Ni kwamba Zambia wamekubali yaishe au?
 
Zambia wameamua kufungua bolt mpaka mwisho hawana cha kupoteza tena zaidi ya kutafuta magoli
 
Nilijua tu beki ya Kenya ya hovyo....
Wamekula
 
Beki za Kenya zinakaba hewa
 
Back
Top Bottom