Nadhani amenideny nafasi ya goli ndo kilichoangaliwa maana alikua anaenda kufunga beki wa kenya alikua mbali sana...Hiyo tackling from behind
Kenya yanacheza Kwa Nguvu bila MaarifaWanakatana mitama sio kitoto
Yeah vya Angola vidogo vidogo ila navyo vinapambanaKenya yanacheza Kwa Nguvu bila Maarifa
Hayupo nyumaAngola ananikosha! Japo yupo nyuma goli moja
wamoto vibaya mno, wapo nyuma kivp 1-1Angola ananikosha! Japo yupo nyuma goli moja
Niliona vibaya asee ndo naona kumbe ni moja mojawamoto vibaya mno, wapo nyuma kivp 1-1
Yeah but nimependa wako chap na ni wepesiHayupo nyuma
1 ; 1
Shida Wanataka kukaa na mpira sana
wametumwa na kijijiYeah but nimependa wako chap na ni wepesi
Wako vibaya rekodi yao sio nzuri itabidi wakomaewametumwa na kijiji