Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Tanzania Kuna mashabiki maandazi wa Simba na yanga. Timu ya taifa ikiwa inacheza wanaenda wachache sana. Naangalia mechi ya Kenya hapa mashabiki kama wote
 
Yani usimba na utopolo umetufanya tudhalilike...wakenya wametupita mbali sana kuanzia maamuzi magumu mpaka mepesi...
Ona wanavyojaza uwanja sisi sasa
Eti uto wamesusa hamasa...😇😇😇😏😏😏
 
Kabisa.
Jumamosi utoke tuende uwanjani Kaka
 
  • Thanks
Reactions: x x
Halafu wanashangilia kistaarabu. TAKA TAKA ZINAZO ITWA VUVUZELA SIZISIKII KABISA
Vuvuzela ni utamaduni uliyobakia South Africa na Tanzania
 
Yani usimba na utopolo umetufanya tudhalilike...wakenya wametupita mbali sana kuanzia maamuzi magumu mpaka mepesi...
Ona wanavyojaza uwanja sisi sasa
Eti uto wamesusa hamasa...😇😇😇😏😏😏
Aisee
 
Back
Top Bottom