Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Kwa mpira huu wa Kenya bado sana

Ila tuseme ukweli Angola wanaubonda bhana zile winga ni hatari aseeh

Shida yao kuruhusu goli tu ila pia goli lile la offside lilikataliwa wangeshinda 2-1 kama nilivyotabiri
 
VAR inaua utamu sana wa soka kwa kweli

Offside sawa ila kwa dakika zile dah inaumiza sana yaani sawasawa na ukojolee nje badala ya papuchi

Angola wanacheza mpira mzuri sana sana

Sielewi kwanini points 4 tu za wakenya wanashangilia kama wamefuzu vipi Tanzania wenye 6 na wala hatusemi sana?

Kenya kwa mpira huu hafiki mbali
 
1000228511.jpg
 
Morocco atamlamba.

Natamani wavuke tukutane Robo, tushuhudie Darby ya Afrika Mashariki
 
Angola defensive hawako sharp ila hilo ni tatizo la timu nyingi zakwenye hii michuano
 
Morocco atamlamba.

Natamani wavuke tukutane Robo, tushuhudie Darby ya Afrika Mashariki
Hebu tuangalie Kenya 4
Morocco 3 sio eeh?
Angaola 1
Congo 3
Zambia 0 au sio?

Vipi Angola akimfunga Zambia? Na Congo? Na Morocco akamfunga Kenya?

Halafu Kenya akadraw na Zambia?

Hapo wakenya bye bye wakutane na nani wana mdomo hao wakitufunga wakibahatisha je? Tutaweka wapi sura zetu mkuu
 
Angola defensive hawako sharp ila hilo ni tatizo la timu nyingi zakwenye hii michuano
Nimeliona hilo mkuu

Defense ya Angola iko shallow kidogo Kenya wana striker butu sana ila wamefunga pale hiyo penati

Beki zao zile hata wanavyoanzisha mpira nyuma wanakuwa slow ila ukifika kwa kiungo tu kwenda kwa Mawinga hapo fire sana

Halafu jamaa wana wachezaji wadogo wadogo umri na wanajua sana soka aseeh dah mimi natamani wabaki na wafuzu tupate ladha halisi sio wakenya matapeli hawa mechi mbili goli 2
 
Hebu tuangalie Kenya 4
Morocco 3 sio eeh?
Angaola 1
Congo 3
Zambia 0 au sio?

Vipi Angola akimfunga Zambia? Na Congo? Na Morocco akamfunga Kenya?

Halafu Kenya akadraw na Zambia?

Hapo wakenya bye bye wakutane na nani wana mdomo hao wakitufunga wakibahatisha je? Tutaweka wapi sura zetu mkuu
Nafasi yao kutoboa bado ipo.
Atafungwa na Morocco tu.
Zambia atafungwa na Kenya
 
Back
Top Bottom