Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Hebu tuangalie Kenya 4
Morocco 3 sio eeh?
Angaola 1
Congo 3
Zambia 0 au sio?

Vipi Angola akimfunga Zambia? Na Congo? Na Morocco akamfunga Kenya?

Halafu Kenya akadraw na Zambia?

Hapo wakenya bye bye wakutane na nani wana mdomo hao wakitufunga wakibahatisha je? Tutaweka wapi sura zetu mkuu

Nimeliona hilo mkuu

Defense ya Angola iko shallow kidogo Kenya wana striker butu sana ila wamefunga pale hiyo penati

Beki zao zile hata wanavyoanzisha mpira nyuma wanakuwa slow ila ukifika kwa kiungo tu kwenda kwa Mawinga hapo fire sana

Halafu jamaa wana wachezaji wadogo wadogo umri na wanajua sana soka aseeh dah mimi natamani wabaki na wafuzu tupate ladha halisi sio wakenya matapeli hawa mechi mbili goli 2
Kenya wameathirika na kutocheza mashindano ya kimataifa kwa muda mrefu ila naona wachezaji wanapambania taifa lao sana.

Sipendagi kuona mwenyeji wa mashindano anatoka mapema, mashindano huwa yanadorora. Wasonge mbele, kama kutoka waje kutoka huko mbele robo au nusu fainali. Nadhani wakikutana na Zambia wataweza kupata walau sare.

Mara paaah, Tanzania vs Kenya halafu mechi inafanyikia Kenya, aisee itakuwa mechi moja yenye msisimko sana.
 
Kwa timu yetu ya Taifa, inabidi wajidhatiti kwenye nafasi ya kiungo, hakuna kiungo mchezeshaji wa kutoa pasi za mwisho zenye macho.

Wakina Mzize hawapewi pasi za uhakika.
 
Nimeliona hilo mkuu

Defense ya Angola iko shallow kidogo Kenya wana striker butu sana ila wamefunga pale hiyo penati

Beki zao zile hata wanavyoanzisha mpira nyuma wanakuwa slow ila ukifika kwa kiungo tu kwenda kwa Mawinga hapo fire sana

Halafu jamaa wana wachezaji wadogo wadogo umri na wanajua sana soka aseeh dah mimi natamani wabaki na wafuzu tupate ladha halisi sio wakenya matapeli hawa mechi mbili goli 2
Tz tukomae tuchukue kombe hilo...
 
1000229311.jpg
 
Wadau hii game ya Saa 11 ni ya moto sana leo hii!!
 
Hivi kwanini Souz hawamtumii Williams?
 
Naona hata wale viungo na mabeki wa Mamelodi hawapo.
Why?
 
  • Thanks
Reactions: K11
Back
Top Bottom