1-1Sio rahisi
Tukashangilie ushindiKesho tuende uwanjani kwa wingi wadau
Tunawachapa tu mwendo ni ule ule na uwanja ujaeMadagascar wasije kutuharbia momentum yetu.
Wameweka Damu ChangaSouth Africa wajinga sana wafungwe tu hawa nataka
Sasa wametuletea kikosi gani?
William
Mudau
Kekana
Modify
Zwane
Mokoena
Maseko
Na wengineo wako wapi? Ina maana wamedharau mashindano haya siku nyingine waondolewe mapema tu.
Wameharibu mvuto wa mechi ingekuwa kali zaidi ya hii.