Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
WajingaWameweka Damu Changa
WajingaWameweka Damu Changa
South Africa wajinga sana wafungwe tu hawa nataka
Sasa wametuletea kikosi gani?
William
Mudau
Kekana
Modiba
Zwane
Mokoena
Maseko
Na wengineo wako wapi? Ina maana wamedharau mashindano haya siku nyingine waondolewe mapema tu.
Wameharibu mvuto wa mechi ingekuwa kali zaidi ya hii.
Ilikuwa softHakuna
Wanajitahidi sana aisee.CAF wasifikiri watu wa dar wataingia viwanjani hiyo AFCON 2027.Pelekeni tu AFCON Ichezwe Uganda na Kenya tu angalau wanajitahidi kuingia viwanjani. Mpira ni mashabiki.
Niliandika Uzi juzi hapa wajinga wakanishambulia Kwa maneno, Tanzania haikustahili kuwa moja ya wenyeji wa CHAN tournaments 2024.CAF wasifikiri watu wa dar wataingia viwanjani hiyo AFCON 2027.Pelekeni tu AFCON Ichezwe Uganda na Kenya tu angalau wanajitahidi kuingia viwanjani. Mpira ni mashabiki.
Hawa South Africa wamenifikirisha sana, ligi kuu wao inaanza kesho so mambo ya Chan hawana time nayo kama sisi league ina stop mpaka chan iisheView attachment 3436084
Hawa wahuni wako huku aisee...
Tanzania ni mashabiki wa Yanga na Simba.Niliandika Uzi juzi hapa wajinga wakanishambulia Kwa maneno, Tanzania haikustahili kuwa moja ya wenyeji wa CHAN tournaments 2024.