Amen Amen Amen Amen Amen Amen Amen AmenMungu ibariki Uganda!!
Sisi mashabiki wana hesabika kabisaWamejaza uwanja
Kesho uwanja ujae pale kwa Nkapa Hatoki Ntu Madagascar π²π¬ lazima wakasimulie km walivyosimulia Mauritania π²π· na Burkina Faso π§π«UG wameanza kwa kasi halafu wana mashabiki wengi tofauti na sisi
Wacheze boli sasa sio kujaza uwanja tuPamoja na Uganda πΊπ¬πΊπ¬πΊπ¬πΊπ¬πΊπ¬πͺπΊπΊπΊπΊ
Uganda ni Full House uwanja umefurika balaaCAF wasifikiri watu wa dar wataingia viwanjani hiyo AFCON 2027.Pelekeni tu AFCON Ichezwe Uganda na Kenya tu angalau wanajitahidi kuingia viwanjani. Mpira ni mashabiki.
Kesho wote uwanja ujae aiseeKesho usikae nyumbani mkuu