Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,784
- 22,106
MadagascarHivi Kesho tunakiwasha nanani???
MadagascarHivi Kesho tunakiwasha nanani???
Aisee hii mechi ngumu mazeee. Na hivi jamaa wamepumzika so wako fresh kinomaHapana ni Madagascar
Yeah wale jamaa siyo wanyonge kabisa!Aisee hii mechi ngumu mazeee. Na hivi jamaa wamepumzika so wako fresh kinoma
Wacha tuone hiyo kesho.Yeah wale jamaa siyo wanyonge kabisa!
Hawa vijana wanaendana kabisa na umri wao, so young and talented.
MadagascarWachovu wa central african republic....hao ni kupiga 5
Hawa watatusumbua keshoMadagascar
Twende kwa wingi.Kesho Tanzania yetu utaona watu 100 ndo wako uwanjani😂
Leo tunakuwa team ya kwanza kufuzu robo fainali kwenye haya mashindanoHawa watatusumbua kesho
Sie hili kundi kufuzu ilikuwa lazima. Sasa wee vibonde wote wapo kundi letu.Leo tunakuwa team ya kwanza kufuzu robo fainali kwenye haya mashindano
Mwebale kusima..Mwebale nyo The Cranes 😘😘😘😘😘🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Huku sio matoke,We can definately see ze results
Ndio it is making the nyash bid and well formedHuku sio matoke,
Huku kuna mnyige..
Leo twende mdauUkiangalia mechi za Kenya na wenzetu Uganda utajua
Wabongo sisi wangese sana
Uwanjani hatuingii ila tukishinda kila mtu anajifanya mchambuzi mtandaoni
Team yetu inaangushwa na sisi wenyewe, ticket zenyewe nyingi zinatolewa bure ila watu Hawaii walioko dar huko mnatutia aibu sana mpaka Uganda kwao wanajaza nyie wa dar ndio mko busy sana??
Mpaka ticket ziwe bure ndio mnaingia? Mbona kwa simba na yanga mnajaza?
Tuache ujinga na tuwe wazalendo ushindi wa Tanzania unaanzia kwako wewe hapo
Tanzania 2- Madagascar 0
Nimezingatia ugumu wa mechi na ubora wa Madagascar