Insha-AllahLeo tunakuwa team ya kwanza kufuzu robo fainali kwenye haya mashindano
Bahati mbaya nipo dodoma ila ningekuwa huko.Dar hakika ningeenda leo kwa mkapaLeo twende mdau
Na wewe upo dodoma?Sisi tunaenda Mkuu
Kivumbi leoooMauritania wanaongoza chuma moja dakika ya 12
Dakika ya 43 Mauritania moja Afrika ya kati Sifurimhhh