Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Ukiangalia mechi za Kenya na wenzetu Uganda utajua

Wabongo sisi wangese sana
Uwanjani hatuingii ila tukishinda kila mtu anajifanya mchambuzi mtandaoni

Team yetu inaangushwa na sisi wenyewe, ticket zenyewe nyingi zinatolewa bure ila watu Hawaii walioko dar huko mnatutia aibu sana mpaka Uganda kwao wanajaza nyie wa dar ndio mko busy sana??

Mpaka ticket ziwe bure ndio mnaingia? Mbona kwa simba na yanga mnajaza?

Tuache ujinga na tuwe wazalendo ushindi wa Tanzania unaanzia kwako wewe hapo

Tanzania 2- Madagascar 0

Nimezingatia ugumu wa mechi na ubora wa Madagascar
 
Mwebale nyo The Cranes πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ˜˜πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΊπŸ‡¬πŸ‡ΊπŸ‡¬
Mwebale kusima..
 
Leo twende mdau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…