Uzi Maalumu: CAF African Nations Championship (CHAN) 2024: Morroco yawa mabingwa

Jamani nilisema au sikusema??

Stars tuko moto sana
 
Huyu saadun fala sana yaani anatukaba tu sijui walimuita wa nini??.

Kuna haja ya kuwepo semfuko, mtasingwa au Yahya zaid pale namba 6 ikiwezekana waletwe chap sana hao .

Sheikhan ni namba kumi yule sita hawezi, hamza ndio kabisaa hakuna kitu .

Tumecheza vizuri mwanzo kwa kutafuta goli ila tungepata zaidi ya hizo goli leo

Jamaa walikuwa wanapita sana kati kati pale palivuja sana sana anyway

Ikiwezekana tuje kupatana na Kenya baadae wana mdomo sana hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…