[emoji15] [emoji15] [emoji15] kumbe wewe ni jobless!??Kiukweli sijawahi kutoka nje ya Tanzania nimekuja tu kuweka comment yangu ila jaman ndugu zangu Kama Kuna michongo huko juu nisaidieni na Mimi nipate hata kazi huko maana huku bongo sio pazuri sana.elimu yangu ordinary diploma in hydrology and meterology.asante
Km anafanya kwa ajili ya watu we mwenyewe si mtu? Kinachofanya ukimbie ni kitu gani?Braza Magufuli anafanya yake kwa ajili ya watu na anafanya vizuri Sana.lakini na Mimi natakiwa nifanye yangu kama Kuna fursa sehemu ambayo naweza kuwekwa nikafanya kazi kwa maslahi mazuri itanibid niende
Hata Kama Kuna kazi za kutumia nguvu huko nipo vizuri.niangalizie huko mkuu
Duh njia ya kutoka imebaki Lotto tu....!
Ukitokea wapiMwezi huu nataka nijilipue kwenda Dar, niombeeni
Hahahaha GTDuh njia ya kutoka imebaki Lotto tu....!
Wewekwa sasa una nafasi kubwa ya kubadilisha katiba ya Marekani iruhusu wasio wazawa kuwa rais, ugombee urais 2020, ushindena kuwa rais wa Marekani, kuliko kushinda hiyo Jackpot.mkuu Kiranga niko states. Last week nilicheza megamillions na poweball nikatoka kapa.
Ila tayari nimeshanunua tiketi ya megamillions 1.6 B $ ya tuesday draw na powerball 600 m $ ya wednesday draw. Nimesafiri na mwenyej wangu state flan ukishinda hawakutangaz hadharan.
Niombee
Thanks bro.Wewekwa sasa una nafasi kubwa ya kubadilisha katiba ya Marekani iruhusu wasio wazawa kuwa rais, ugombee urais 2020, ushindena kuwa rais wa Marekani, kuliko kushinda hiyo Jackpot.
Una nafasi kubwa ya kujiunga unga ufanye biashara ya mazao Bongo mpakauzipige hizo 1.6 B kulikokwenye Mega.
Lakini, wanasema "you gotta be in it, to win it".
Much success to you.
Yesu akishuka Powerball itakuwa haina maana, unataka Yesu ashuke au unataka kushinda Powerball,changua moja.Thanks bro.
Mwenyeji wangu ananicheka sana eti napiteza hela yangu. Nimetumia almost 100$ kwenye mega na powerball.
Ila nimecontempate na kuchukua mda wa kutosha kuchagua namba.
Tiketi nimeziweka kwenye holly Bible.
ITS NOW OR NEVER
YESU SHUKA
Poa mkuu ngoja nitulie ila ile experience ilikuwa kali. Ntakutag
Kwa wale wote ambao mko nje ya Tanzania hapa panawahusu
Kwanza tunataka kujua uzoefu changamoto zenu na mnayakabili vipi maisha ya huko
Hapa tupate kujua unapendelea safari na kampuni gani au shirika gani la.ndege ni lipi unalichukia na kwanini??
Mji gani umekaa, je umewahi kubaguliwa?
Unaishi na kina nani huko, masela, umepanga kwako, au unaishi na familia yako,
Mara ya kwanza kupanda pipa nani alikupa mchongo mpaka huko ulipo?
Umewahi pata changamoto yeyote na uliikabili vipi
Je ulisumbuka kupata kibali cha kuishi hapo??
Na wale wa boder za nchi kavu karibu
Kuna mengi sana ya kushare hapa
luambo makiadi Jon Stephano Kiranga Nyani Ngabu Witness ponela venchwa
hahahahaInaonekana kwa jF unaongoza kwa safari wewe na Britannica
Mkuu unayosema kweli kabisa. Yani mbongo wanachomeana sana polisi na immigration. Kuna waliorudishwa/deported bongo kwa kuchomewa. Mimi na wabongo wenzangu mbali mbali sana.Asilimia 99% ya wabongo nje ya nchi never assimilate na wazawa, siku zote ni wao kwa wao tu na wanaendekeza ujinga ule ule wa kibongo huko majuu. Wanachukuliana mabwana na mademu, umbea, majungu yasiyo na tija kwao, kuchukiana, na kuchunguzana maisha ndiyo furaha yao. Asikudanganye mbongo yoyote kuhusu hili, wale wanao assimilate na wazawa ni wale wababishaji wauza nganda (sembe) na wanafanya hivi kwa sababu hawana jinsi ya kuishi. Changamoto kubwa ya wabongo waishio nje ni wabongo wenzao, wanauzana sana na kuchomeana immigration kwa ajili ya chuki zao za kijinga. Ndiyo maana nilipokuwa naishi majuu for 4 years (shule) sikutaka kujihusisha na wabongo hata siku moja mpaka nikarudi Bongo.
Mkuu Benny kaa mkao wa kulaHahaha Copenhagen experience zako hapa nishaanza kucheka kabla hata sijasoma
Mkuu unayosema kweli kabisa. Yani mbongo wanachomeana sana polisi na immigration. Kuna waliorudishwa/deported bongo kwa kuchomewa. Mimi na wabongo wenzangu mbali mbali sana.
Nimeishi shared apartment na manationalites wengine hadi majuz niliamia ghetto langu mwenyewe.
Nasio wabongo tu hata manigger wengine tabia yao iyo iyo wenyewe kwa wenyewe.
Kama Canada na Marekani?Sijawahi kukosa visa hata ya zile nchi ngumu kwenda toka nianze kusafiri