Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Mkuu,subiri wadau watazipandisha hapa Jf!
 
Mimi naomba kama kuna mtu anazo za mh. Martha Mlata. ..2005 alitoa CD nzuri sana. ..nimeitafuta sana sijaipata. ..natanguliza shukurani. ..
"Kama una huzuni moyooni mwaambie yesu, mwaambie yesu msaidizi kweli huutapata mwingine mwaambie yesu ..."
 
Uwiiiii kwl nimebarikiwa mno mno aliyebuni uzi huu mwili na nyama avijamfunulia bali Rm pls kwanini lifunguliwe group la wassap tupate kwa urahisi hizi nyimbo mfano wimbo wa katika safari ya injili wa kimara lutheran kwaya namkumbuka marehemu shangazi yng na sauti yake naisikia kbs
 
Mke mwema nani atayemuona
Maana ni mali adimu, Mke mwema yu wapi
Ndoa zavunjika, watoto wahangaika
Kisa baba kamuacha mama, eti Mke si mwema.....


Anza darasa upya,
Mkeo huyo baba, ni mke mwema
Ringa, uringe naye
Mkeo huyo ni mke mwema ringa naye,
Mke ni mwili wako, ni nani wewe wachukia mwili wako
 
Hii mingine miwili

1. Parapanda ya Bwana italia siku ile
Atakaporudi Yesu kuchukua kanisa lake
Tujitayarisheni, siku hiyo ya kutisha
Ole kwa wale wote, wasiomuamini Yesu

Ndipo Bwana atasema ondokeni kwangu,
Ninyi nyote mliolaaniwa na Baba yenu,
Wataomboleza na kusaga meno, watakapotupwa kwenye moto wa milele....

2. Unafikiria nini, ulimwengu ni wa shida
Tena unajidanganya wewe, na mambo ya ulimwengu

Kanisani umeacha ulikuwa unategemewa. ...............
 
We dada mkali!unanikumbusha mbali...acha nizitafute!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…