Uzi maalumu kwa ajili nyimbo za injili za zamani(Old school Gospel songs) za Tanzania!

Mungu kaupenda ulimwengu, kamtoa mwana wa pekee
Ili kila amwaminiye yeye asipotee

Unangoja nini wewe mwenye dhambi
Bwana Yesu alikufia
Calvary alipitia ili uokolewe
Hao Wanaitwa Naioth Prophetic Singers na Wimbo Unaitwa Unangoja Nini?
Na Nishauweka Humu,ebu Cheki thread zangu za nyuma!
 
Mungu kaupenda ulimwengu, kamtoa mwana wa pekee
Ili kila amwaminiye yeye asipotee

Unangoja nini wewe mwenye dhambi
Bwana Yesu alikufia
Calvary alipitia ili uokolewe
Bali wote watenda dhambi hao ni wana wa shetani tena ni watumwa wa hizo dhambi wanazofanya

Bali wote walompokea walifanywa wana wa Mungu umwamini leo uache dhambi uwekwe huru
 
Hao Wanaitwa Naioth Prophetic Singers na Wimbo Unaitwa Unangoja Nini?
Na Nishauweka Humu,ebu Cheki thread zangu za nyuma!
Exactly, thank youuu

Bali wote watenda dhambi hao ni wana wa shetani tena ni watumwa wa hizo dhambi wanazofanya

Bali wote walompokea walifanywa wana wa Mungu umwamini leo uache dhambi uwekwe huru

yeah upo vizuri sana my dear
 
Inaonekana unatafakari maneno ya nyimbo za injili na sio beats

Nyimbo hizi ni IBADA KAMILI

Ila tu watu wengi wanasikiliza beats na sauti na sio ujumbe.

Itapendeza sana ikiwa wakristo wengi tutatafakari yaimbwayo katika nyimbo hizi, hasa za zamani zina hisia.

Barikiwa.
 
Barikiwa pia mpendwa. Kwenye hizi nyimbo unajikuta umezama kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…